House for sale at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA (MASTER NI KIMOJA), SEBULE KUBWA, DINING, JIKO NA PUBLIC TOILET YA NDANI, MAJI YANATOKA NDANI JIKONI NA VYOONI.
NYUMBA INA UMEME, FENSI KOTE, NA TENKI.. MAJI NI DAWASA.
NYUMBA INA DOCUMENT YA SERIKALI YA MITAA.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI.. HAIKO MBALI NA KITUO CHA DALADALA.
BEI: MILIONI 40 TU..
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.