House for sale at Sinza, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA INAUZWA – SINZA LION (DAR ES SALAAM)
📏 Eneo: 371 SQM
📜 Hati: Title Deed (Hati ya Ardhi Tayari)
💰 Bei: 180 mil
🏠 Maelezo ya Nyumba:
- Eneo safi kabisa, lililopo katika mazingira ya makazi tulivu na salama.
- Panfaa kwa makazi ya familia au uwekezaji (kukodisha, biashara ndogo, n.k.).
- Miundombinu bora: Barabara, umeme, maji, na huduma zote karibu.
💰 Ada ya Huduma: TZS 30,000/= tu
📞 Wasiliana Sasa:
Piga: 0688 412 890
Fursa ya pekee! Usikose – nyumba iko tayari kwa mmiliki mpya!
#NyumbaInauzwa #SinzaLion #DarEsSalaam #UwekezajiMali


















