House for sale at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA
TABATA SEGEREA ITS AFTER OILCOM PETROSTATION
KWA MKUU WA MAJESHI #CDF
INA APARTMENT JUMLA YA 4
MBILI NDIYO ZINA MPAKA WAPANGAJI
ZINGINE ZINAHITAJI FINISHING
UKUBWA INA VYUMBA VITATU KIMOJA NI MASTER BEDROOM
VYUMBA KWA VIWILI
SEBULE
JIKO/STOO NA PARKING UNAWEZA KUPARK MAGARI MADOGO 8/10
DOCUMENTS TITLEDEED YA WIZARA YA ARIDHI
JAMANIII NYUMBA INAUZWA MILLION 120ML
BEI.MILLION 250 MAZUNGUMZO KIDOGO YAPO
MAWASILIANO.
0657 777 771
0747 257 771
0620 579 936
DALALI TANZANIA ๐น๐ฟ
KASINGE KATONDA 2024