House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
#BEI NI 200,000/= X 6
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#BEI NI 200,000/= X 6
💫💫APARTMENT HII IPO #MBEZI_SHULE_NJIA_YA_KUELEKEA_GOBA NA KUTOKA LAMI YA GOBA HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747