House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA #250K
_
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani (master)
Jiko lenye kabati
Inajitegemea umeme na maji
_
Bei:250,000 Kwa mwezi × 6
_
Umbali dakika 5 Kwa mguu toka kituoni
_
Ndani ya fence parking kubwa
_
Kuonyeshwa nyumba 15k
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
What saapp number 0689-547258