House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZR SN INAPANGISHWA MAHALI ILIPO DARESALAAM TZ 🇹🇿 ENEO KIBAMBA KWA MANGI UMBALI WA KM 1.3
YENYE
VYUMBA V2 VYA KULA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA KATIKA COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT MBILI TU MOJA NDIO ILIYOKO WAZI NI MOJA TU
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI MBILI NA NUSU 250K
KODI ILIPWE MIEZI MINNE 4 5 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO YA NYUMBA
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15 🇹🇿
SIMU
0712656027