House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA KWA MANGI #130K
Chumba master bedroom na Sebule
Kodi 130,000 kwa mwezi × 3
Umeme submeter ,maji Inajitegemea yanaflow choo
Ndani ya fence parking kubwa
Umbali km 1 dakika 15 kwa mguu boda boda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0765-494343
0683-387747