House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE Dk6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani ( public)
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Ndani ya fence
Parking space kubwa
===
Service charge 15,000/=
Bei:200,000 Kwa mwezi × 6
===
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu.
===
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















