House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENTS ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
Chumba sebule choo jiko
Kodi 150,000 kwa mwezi ×4
Umbali km 1.5 barabara ni lami bodaboda 1000 bajaji 700
Ndani ya fence parking IPO
Umeme wawili, maji unajitegemea mita yako
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747