House/Apartment for Rent at Kijichi, Dar Es Salaam


Apartment ya kibachela inapangishwa tsh 200,000/=
Kwa mwezi (miezi 6) ni master,sebule,jiko & public toilet
Umeme na maji utajitegemea, nyumba ina FULL A/C
Iko ndani ya fensi with parking space
Monthly service charge tsh 100,000/= for security
LOCATION NI KIJICHI (Temeke) MTAA MIANDE
================
0712445523 OR dalalimsafi24