House/Apartment for Rent at Kiluvya, Pwani







BEI:150,000 Kwa mwezi × 3
===
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA
====
Chumba cha kulala kikubwa
Sebule kubwa Sana
Choo ndani
Jiko kubwa
=====
Bei:150,000 Kwa mwezi × 3
==
Inajitegemea umeme na maji, inahadi tank lake la reserve hakuna uswahili Hapa
===
Umbali dakika 10-12 Kwa mguu toka kituoni
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0679447338
0753454167



















