House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA 💯%
MASTER BEDROOM ''SINGLE''
KUBWA SAANA YA KIBABE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 150K X4//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU HAMSINI, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.*
BEDROOM ''SINGLE''
"Ft15" UREFU "Ft16"
WAKE SUBMETER
YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
🏘️APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
Contact 📲
0713661530_0783661530



















