House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
KODI YAKE 250,000/= X 3
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#JIKO (OPEN KITCHEN)
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
# INAYOPANGISWA NI YA CHINI NDUGU MTEJA
BEI NI 250,000/= X 3
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4NA KUENDELEA
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI AU UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NA UNAFIKA KWENYE NYUMBA VIZURI SANA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
โHII NAIFAULISHA, INAKUWA WAZI RASMI TAREHE 20/ 07/ 2024" KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA
CALL
0683234124
๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA