House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 160,000 x 4 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 2 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA
UMBALI WA KILOMETA ( 2,,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA KIDOGO DK 4 TU
CHUMBA SEBULE NA PUBLIC TOILET YA NDANI NA JIKO LENYE MAKABATI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW ( HEAT YA MAJI MOTO NA BARIDI )
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
( FENCE INAJENGWA )
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOxA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258