House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE ISIYO LAZA GARI
BEI NI 300,000/= X 6
๐ฃNYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TU BAJAJI 500 UKISHUKA Dk 2 BODA BODA 1000 MPAKA GETINI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
HII NYUMBA INAKUWA WAZI LEO JIONI ILA KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA ๐
SIMU 0659336751 WSP 0786085637