House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO 3 
 INAKUWA WAZI LEO KODI 250,000X6 
LOCATION KIMARA TEMBONI KM 1 USAFIRI BAJAJI 500
 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA 
DALALI  MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
 SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
____________
#VYIUMBA 2 VYA KULALA
UKUBWA WA WASTANI
 
#JIKO KUBWA 
#PABLICK TOILET NDANI 
#MAJI DAWASCO
 YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO 
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING
 BLOCK
INAKUWA WAZI TAREHE 1.5.2025 AU KABLA YA HAPO
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363




















