House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







200,000 x3. 0759151524
APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2
BANGALOO
SIFA YA NYUMBA NI
Chumba master sebure na jiko zuli nyumba mpya ipo ndani ya fence ndani zipo 3 kila moja inajitegea umeme na maji
IMESHUKA BEI
SHILLING 200,000 X 3
KUTOKA KIMARA MWISHO USAFILI NI BAJAJI SH 1000
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 3
BODABODA SH 1500
HADI MLANGONI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES SHILLING 15,000 ITADUM MPAKA UPATE NYUMBA
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
0679 956 863
0759151524
0781 418 437 ♥️