House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#NO JIKO
#PUBLIC TOILET
#LUKU WANASHEA WA 2
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
BEI NI 170K X5👈
ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU 70 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MJINI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI PKPK SH ELFU MOJA TUU KUONANYUMBA 15
SIMU 0659336751 WSP 0786085637