House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA KODI 200,000 MALIPO MIEZI X6
LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUWA
KUTOKA MAIN ROD KM2 BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK 5
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
UMEME UNAJITEGEMEA
MAJI DAWASCO NDANI
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
PARKING KUBWA SANA
KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
ZINAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 1 / 8 / 2025 KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA
CONTACT 👇
#0785889413