House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
KWAA SASA NJOO NA 170X4 TU
NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
===================
LOCATION: KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
==================
KODI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MINNE (4)
====================
SIFA ZAKE
########
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDAN
NDAN YA FENS
AINA PARKING
GARI INAFIKA MPAKA GETIN
=================
MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU MWENYE NYUMBA HAKAI APO
==================
UMBALI KM 1,5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA BARUTI USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 TU BODA ELFU MOJA TU MPKA NYUMBAN
==================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
#0625606710