House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X6)KIMARA BARUTI 1.3KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
UMBALI WA KM 1.3 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
.
IPO WAZI NJOO UIONE ULIPIE NA KUHAMIA HATA LEO LEO
.
SIFA ZAKE
==========
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA FULL PERVING BLOCK
.
.
LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI CHOONI NA JIKONI
.
.
KUPELEKWA SITE ELF 15
.
.
CONTACT
0716223412
0683597453