House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA 💯%
MASTER BEDROOM NA JIKO
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 150K X3//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU HAMSINI, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MITATU NA KUENDELEA.*
BEDROOM '
# JIKO SAFI
WAKE SUBMETER
YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
🏘️APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
DALALI 150K
KUPELEKWA KUONA 15K
🏡🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA.
0713661530_0783661530



















