House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







*APARTMENT NZURI SANA
*MASTER BEDROOM & JIKO
*NDANI YA FENCE
*INAPANGISHWA
*KIMARA TEMBONI
*NIMEISHUSHA MIEZI 👇👇
💥 KODI YAKE 150K X 3
📌 *ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MITATU NA KUENDELEA
*SIFA ZAKE NI
⚡ *CHUMBA MASTER
⚡ *JIKO SAFI
⚡ *TILES*
⚡ *GIPSAM*
⚡ *ALMINIUM*
⚡ *MAJI DAWASA METER YAKE
⚡ *MAJI YANAFLOW NDANI
⚡ *UMEME WANASHEA W2
⚡ *PARKING KUBWA
⚡ *FULL PAVING BLOCKS
🏡 *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
*BAJAJI TSH700
*BODA TSH1000
*NOTE:: MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
🇹🇿🏡 KARIBUNI SANA SIMU 0659336751 WSP 0786085637