House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA ITAKUWA WAZI TAR. 1.10.2025
MASTER NZURI KUBWA SANA
CHUMBA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI
LUKU MITA INAJITEGEMEA
MAJI SUBMITER
MAJI DAWASA NDANI
LOCATION KIMARA BUCHA DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
HUDUMA YA KUONA NYUMBA NI TSH 20
KARIBUNI