House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHÙMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKIN̈G
❌HAKUNA JIKO HAPA
#SEHEMU YA KUOSHEA VYOMBO
💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 AU BODABODA NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747