House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







IYO YA CHINI KABISA NDO INAKUWA WAZI
20/05/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NI RUKSA KABISA
APARTMENT NZURI MPYA KABISA INAPANGISHWA
KODI NI 250,000 Γ 4/5/6
LOCATION: KIMARA MWISHO
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
SEBULE KUBWA
CHUMBA MASTER KIKUBWA
JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI TAXS NOAH 500 UKISHUKA DK 2 UPO NDANI
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA 24HRS YANAFLOW NDANI
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU HARAKA
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp