House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X4)KIMARA KOROGWE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI NA IPO MATAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 4
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
❌HAKUNA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NDUGU MTEJA
BEI NI 250,000/= X 4
💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE UWANJANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976018