House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYAAA MPYAAA APARTMENT NZURI YA KISASA ZINAPANGISHWA  KIMARA SUKA KM3 KUTOKA LAMI 
SOMA KWA MAKINI
๐ฅSEHEMU (A.)
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#CHUMBA  MASTER 
#SEBULE KUBWA SANAA
#LUKU MITA UNAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA MITA YAKO NA YNAFLOO NDANI
BEI : LAKI 150,000 X MIEZ 4
๐ฅSEHEMU (B.)
>CHUMBA KIKUBWA MASTER 
#LUKU MITA UNAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA YANAFLOO NDANI
SERVICE CHARGE 15,000/=
BEI ; LAKI 100,000 X 4
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU
CONTACT 
#0658586449 
#0684881429
MSHATI




















