House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 150,000 x 4 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 4 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENSI MOJA
ITAKUWA WAZI JUMA PILI HII KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA KABISA
UMBALI WA KILOMETA
( 1,5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ BUKU
BODA BUKU
CHUMBA MASTER SEBULE
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
.CONT
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747