House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(170,000X6)KIMARA SUKA 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 800...WAHI IPO MOJA TUU
➖➖➖➖➖➖➖➖
MPYAA MPYAA💥 MPYA MPYAA APARTMENT FOR RENT 💥 BEI NI 170,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
# JIKO FULL MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#KILA APARTMENT LINA DISHI LAKE DSTV
#GARDEN
# LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 170,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 TUU..USAFIRI BAJAJI 800 NA BODABODA 1,000 HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT 0764575774