House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 12 KUTEMBEA
SIFA YA NYUMBA NI
Vyumba viwilli vya kulala sebule na jiko hakuna master madirisha slide window 🪟 nyumba ipo Kwenye fence Umeme wakwako maji mnashea 3
BEI SHILLING 250,000 X 6
Kupelekwa kuona nyumba Shilling 15,000 Itadum mpaka upate nyumba
Ukipenda na kulipa Dalali utampa hela ya mwez mmoja
CALL
CALL O753454167
☆☆☆☆