House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA 
==================
ZINAPANGISHWA 
==================
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
====================
APARTMENT ZIPO KIMARA TEMBONI 
===================
APARTMENT ZIPO NNE KWENYE FENSI KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI 
======================
SIFA KUU ZA IZI NYUMBA 
====================
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA NA JIKO ZURI KUBWA SANA
==================
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR SANAA 
==================
SERVICHAJ ELFU 15
==================
#CONTACT
0684881429
0658586449
MSHATI




















