House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 1
250,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO LINA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU MITA YAKO
#MAJI DAWASA MITA YAKO NA YNAFLOO NDANI
NB;NYUMBA HAINA FENCE
💰BEI NI 250,000/= X 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA KOR0GWE
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU #0625606710