House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Mpya Inapangishwa Mahali: Kimara Mwisho
Bei: 300,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Pikipiki 1000 Mpaka Mlangoni. Barabara Ni Rafiki
☑️Master Sebule Jiko
☑️Pia Kuna Choo (Public)
☑️Fensi Ya Umeme & Parking
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7
Mkataba Unaanza Trh 1/8. Kulipia Ni Ruksa
#NB: Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300