House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 300,000 x 6 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 4 ) TU KWENYE COMPAUNDs MOJA NDANI YA FENCE MOJA
ITAKUWA TEYAR KUHAMIA TRH 14/8/2025 KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA
UMBALI WA KILOMETA ( 2 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ BUKU
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA KISASA LENYE MAKABATI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENCE PARKING KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258