House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







0679 997610
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
PIGA SIMU
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 8 KWA MGUU
KODI KWA MWEZI NI LAKI MBILI 200,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE HAKUNA JIKO
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI NA USALAMA UPO WA KUTOSHA
WAPANGAJI NI WANNE NDANI YA FENSI
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI MITER YAKO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15.000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
Simu
0679 997610
0747997630
Msigwa