House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#JIKO KUBWA ZURI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 250,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU AU BODABODA SHILINGI ELFU 1 AU BAJAJI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37