House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







:
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION
KIMARA STOP OVER , UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI.
SIFA
CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING
BEI
TSH. 300,000/= ILIPWE MIEZI 6
WASILIANA NASI;
0684217177, 0716834095