House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(300,000 × 6) 𝗞𝗶𝗺𝗮𝗿𝗮 𝗞𝗼𝗿𝗼𝗴𝘄𝗲 Chumba Sebule Choo na Jiko
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/11/2025 INAKUWA WAZI NI YA JUU
#CHUMBA CHA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELF 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300



















