House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


KIMARA SUKA UMBALI DAKIKA 4. 250K
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 250K X 6
💥 APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO(SOMA MAELEZO KWA UMAKINI)
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#CHOO CHA PUBLIC CHA KWAKE NDANI KWA NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
‼️JIKO KUBWA
NDANI YA FENSI HAKUNA PARKING
🏘️APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 KWA MIGUU
💰 BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 250 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
0679 956 863
0759151524
0781 418 437