House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI WAHI MTEJA DK 7 TU KUTOKA MWENDOKASI 
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA MASTER 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#FULL TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW 
#LOCATION KIMARA STOP OVER  DK 7 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI 
#BEI NI 160,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 5/6
SIMU
+255 684 88 14 29 
+255 658 58 64 49 
MSHATI




















