House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(200,000 ร 4) #KIMARA_TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200,000 ร 4
๐น๐ฟ KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANAONGELEKA NDUGU MTEJA
๐ฅ APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO(SOMA MAELEZO KWA UMAKINI)
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PAVING
#CAR PARKING
๐๏ธAPARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU AU UKIPANDA BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
๐ฐ BEI NI 200,000 ร 4
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300