House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Mpya Kali Inapangishwa
Mahali: Kimara Korogwe
Bei: 500,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Km1 Kutoka Mwendokasi. Barabara Ya Zege
☑️Chumba Sebule Jiko Choo
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Fensi & Parking Ya Kutosha
☑️Kuna Washing Machine Pia
☑️Ulinzi Usafi Taka Ni Bure
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa DALALI
#CONTACT
0742260844
0657384670