House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 200,000/= × 4
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#MAJI YANAFLOW NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA
#FENSI KUBWA
#PARKING
BEI NI 200,000/= × 4
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 TU USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
#𝗡𝗕: 𝗡𝗬𝗨𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗜𝗜 𝗜𝗡𝗔𝗙𝗔𝗨𝗟𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗜𝗣𝗜𝗔 𝗥𝗨𝗞𝗦𝗔
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15,000 NA MALIPO YA DALALI NI KODI YA MWEZI MMOJA
====
CALL
0683234124
0718367179