House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA TEMBONI UMBALI WA KM 1 BODABODA SHS ELF 1000๐น๐ฟ๐
YENYE
MASTA BEDROOM KUBWA
SEBULE KUBWA JIKO ZURI
TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOW LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCK GETI FENSI WAYA WA UMEME
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI 250K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO YA NYUMBA
SEVIRCE CHAGE NI TSHS ELF 15 ๐น๐ฟ๐
====
Cont
0683234124
0718367179