House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(200,000 ร 6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ง๐๐ ๐๐ข๐ก๐
Apartment nzuri sana wahi ndugu mteja
Apartment hii inapangishwa ipo KIMARA TEMBONI
Ina chumba kikubwa cha kulala
Sebule kubwa sana kama uwanja wa mpira
Jiko zuri lenye kabati
Na choo kizuri chenye nafasi
Maji yanaflow ndani na unajitegemea
Luku unajitegemea
Kodi 200,000 ร 6
Zipo Apartiment 4 na hii moja ndio ipo wazi wahi mapema
Ipo km 1.8 tu kutoka kituoni
Bajaji na Bodaboda zipo nyingi na ukishuka tu unapiga teke mlango
Bodaboda 1000
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300