House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI DAKIKA 7 KWA MGUU
NI CHUMBA SEBULE NA
TOILET PUBLIC YA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE NA PEVING BLOCK
KODI 200,000X3.4.5.6
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0742260844
0657384670