House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
CHUMBA KIKUBWA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI SANA LENYE MAKABATI YA KISASA
UMEME NA MITER YA MAJI INAJITEGEMEA MAJI
MAJI YA DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
IPO KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 5,6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















