House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI
.
INAPANGISHWA 170X6
.
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI WA DK 10 MPKA 15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD PIA USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI NOA TAXS 500 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN
.
SIFA ZAKE
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
.
INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO
.
LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN CHOON NA JIKON
.
KODI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI
.
SERVICHAJ ELIFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
What saapp number 0689-547258



















