House/Apartment for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA
CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO
UMEME MAJI INAJITEGEMEA
NYUMBA IPO KWENYE FENCE
PARKING SPACE KUBWA
#LOCATION KINYEREZI KIFURU SOWETO
#BEI 250,000 KWA MWEZI
NJOO UZINDUE NYUMBA MPYA
DAKIKA 5 KUTOKA MAIN ROAD KWA MIGUU
SERVICE CHARGE 20,000
0785088191
0715800811